Monday, August 23, 2010

0 #16 tiky 2010-08-23 12:53

Mimi sishangai hao watu wa chama ca kijani kushinda mapingamizi yao, tangu lini kesi ya mbuzi ikaamuliwa na Chui?? Wenye akili tunajua kuwa ni uonevu tu. Masauni kule Zanzibar kadanganya umri bado amepeta wakati udanganyifu huo ulimvua uenyekiti wa UVCCM. Pia huyo Masauni kwa kuwa alidanganya kuna hatua gani vyombo vya dora vimechukua mpaka sasa??? Hapo ndipo uone uonevu wa CCM.



Siku zenu CCM zinahesabika wala msiwe na wasiwasi kudondoka kwa Mgombea wenu hadharani kuna maana kubwa, mtaanguka anguko kubwa na wala hamtasimama tena. Msisingizie kufunga kwani wangapi tunafunga na hatuanguki??? Je mwaka jana kule Mwanza alivyoanguka nako alifunga????? Nyie viiiiipi???

Quote





0 #15 tiky 2010-08-23 12:45

Ukiwa na watu kama akina Mtebene unaweza kabisa kuwapa chupa au hata pipi halafu wewe ukachukua Almasi toka kwao halafu akabaki anachekelea kama ZUZU. Mwl Nyerere aliwaona akina Mtebene na akawaonywa tatizo hawaambiliki. Hawa akina Mtebene kesho tu utasikia wanalalamika huduma hospitali hakuna, maji mwezi mzima hayajatoka, nauli zinapanda.....nk ni hawa hawa. Yaani kwao ni bora liende tu. Mtebene hujachelewa hata sisi tulikuwa kama wewe lakini tumeamka.



Hiyo serikalin ya JK unayoifagilia ndio ambayo imemfunga mtu aliyeiba bilion 254 Benki Kuu kifungo cha miaka miwili wakati wezi wa kuku mtaani wanachomwa moto au kufunga kifunga as if wameua. Uchumi wa nchi kila siku unashuka, maisha ni magumu hayaelezeki, hivi unaona haya wewe???? Hujachelewa na tunakuomba usiharibu kua yako mpe Dr. Wilbroad Slaa. Tunataka Rais makini si mwimba Taarabu!!!!!

Quote





-1 #14 Ridhiwan Kikwete 2010-08-23 11:19

Baba halafu maswala yako kuanguka hovyo kwenye kampeni hata sio viuzurimanake unatuogopesha wanao na usione kuwa mama amekaa kimya ni kwa sababu anaogopa tu kukwambia.Jikaze baba tushinde kwa kishindo.

Quote





0 #13 Daniel 2010-08-23 10:27

Sasa Ndugu yangu SALLY? CCM walipoleta "maendeleo" hayo ilikuwa ni Fadhila au Jukumu lao walilopewa baada y a kukabioidhiwa dola? Je ilikuwa ni hiari?

Na je ndugu SALLY, Hayo "maendeleo" unayomaanisha unalinganisha na nchi ipi? Kenya? Uganda? Nigeria?..... na je Umefanya pia utafiti na ulinnganifu wa uwepo wa mali asili (Natural resouces endowment)baina ya Tanzania na nchi ambazo pengine umetulinganisha nazo na ukagundua CCM wameleta maendeleo Tanzania na kwahivyo tuendelee kuwapa ridhaa ya kutawala? au ndo upo kwenye Chain ile ile ya Kagoda na wengineo? Ipo siku wenye nchi wataamka ninyi endeleeni kushangilia msichokijua........

Quote





0 #12 Daniel 2010-08-23 10:13

Ni jambo la ki[NENO BAYA] kusheherekea ushindi wa mezani kama huyu ndg yetu Matebene anavyofanya. Ukiona mtu anafanya hivyo haswa katika nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi ana mapungufu makubwa ya ufahamu. Nitawapongeza sana wale watakaohimili vishindo vya kampeni na kupata ridhaa ya wananchi na sio kuipata ridhaa hiyo "kiubakaji". Wewe kwa akili na ufahamu wako na kwa dalili zilizokuwa wazi hapa Mwanza unadhani Masha alikuwa na njia nyingine ya kurudi bungeni? Kwa lipi alilofanya tulipompa ridhaa ya miaka 5 iliyopita? Sasa unasheherekea u[NENO BAYA]? Ilikuwa ni busara Watunga sheria wetu wakaona umuhimu wa kuvipa vyama nafasi ya mwisho katika kurekebisha kasoro zinazojitokeza katika fomu zao na ikibidi pale mgombea anapokosa sifa chama kikateua mtu mwingine. Hii ndio demokrasia na siio kulazimisha eti huyu ni mbumbe kapit bila mkupingwa. nani kakuambia? apigiwe basi hata kura ya NDIYO au HAPANA halafu tuone kama watu wenye ufahamu wa ki-mtebene wataendelea kusheherekea kudumazwa na kudhalilishwa kwa Demokrasia.

Quote





0 #11 TAFAKARI 2010-08-23 10:09

WATANZANIA WENGI WATAISHIA KUWA KAMA HUYU BIBI. AMECHOKA KUTOKANA NA HALI NGUMU YA MAISHA LAKINI BADO HAJIELEWI. HIVI WATANZANIA NANI ALIYEWALOGA?

Quote





-3 #10 Siegfried David 2010-08-23 10:06

Hata ukipinga ccm wataendelea kushika hatamu,sio kwamba sihitaji mapinduzi hapana,wapinzan i wa hii nchi ni wanafiki hawajapatatokea kwenye hii dunia,ndomana cmm itaendelea kutamba na nyie upinzani kuendelea kungojea hiyo ruzuku ,sihamna mnalo fikiri zaidi ya hilo nyie waroho wa madaraka!!! JK IS THE BEST!!?

Quote





+3 #9 GILLIARD 2010-08-23 10:02

Watu wanaoshabikia CCM ni wale wako karibu sana na ufisadi au ndio wanaufuja mali za umma hivyo wanachekelea watoto wa masikini wanavyoliwa na mainzi mpaka machoni.Mimi nadhani kuna watu hawajatembelea majimbo kama yale ya kina Olesendeka kule Simanjiro wanakodai amepita bila kupingwa.Mtoto anashikwa na mainzi kuanzia midomoni,puani hadi machoni mapaka analala chini kujisalimisha kwa ajili ya kukosa maji ya kunawia uso lakini Watanzania bado wanashabikia CCM. Kuna umuhimu wa wawekezaji kuja na vipimo vya kutupima akili.Siamini kuwa mpaka dakika hii kuna watu wanashabikia CCM wakati hatuna viwanda wala sehemu muhimu za ajira.

-Viwanda vyote vimekufa.

-Mashamba ya kuzalisha mazao(NAFCO)kal asi.

-Shirika la Ndege kalasi.

-Shirika la reli kalasi.

-Kiwanda cha Matairi kule Arusha kalasi.

-Tanzanite kule Arusha kalasi.

-Viwanda vya nguo kalasi.

Jambo la kushangaza tunaagiza pamba ya kufungia vidonda China wakati Mwanza tunalima pamba.Tunaagiza matairi Kenya wakati tuna kiwanda Arusha.Tunaagiza nguo Thailand na China wakati tuna viwanda na Pamba nchini.Mtu anayeshabikia CCM ana lake jambo.Huyu atakuwa sio Mtanzania hivyo anafurahia mateso tunayopata.Leo dola ni 1,600/= T.shs je baada ya uchaguzi dola moja itakuwa imefikia shs ngapi?

Quote





0 #8 Muungwana 2010-08-23 10:00

Watu kama monto na mtebene ni [NENO BAYA] ngu watu tunataka changes na demokrasia ya kweli. kama mmesoma basi hamjaeleimika otherwise tunaquestion kama mna akili kweli

Quote





+1 #7 kalungu 2010-08-23 09:51

ccm mnaikandamiza demokrasia ya vyama vingi,ni vema mngetutangazia kurudi RASMI kwa mfumo wa chama kimoja!

Quote





-1 #6 sally 2010-08-23 09:48

unajua nawashangaa sana wasioona maendeleo yaliyoletwa na yanayoendelea kulatwa na CCM,hawajui kwamba CCM ndio yenyewe wengine wanagiza ,nawauliza kama sio CCM wangeongea hayo wanayoyaongea leo hii,hii ni kutokana na kuimarishwa kwa demokrasia katika nyanja zote za kijamii acheni longolongo hazito kusaidieni tuungane sote kuiletea USHINDI WA KISHINDO CCM(IDUMU CCM DAIMA)

Quote





+2 #5 Nyau 2010-08-23 09:31

Quoting Mtebene A.J:

CCM wera wera!!!!!!!!!! na bado wakimbizeni hao mpaka wawaheshimu......nashangaa wanataka kuvaa suruali kabla ya nepi na bado endeleeni kuwapa dozi..........wamesahau usemi usemao mtaka nyingi nasaba hifikwa na mwingi msiba!!!!???????....waacheni wayaokote makapi maana ndio kawaida yao....



Nimejua ni kwanini Kikwete alisema hajui kwanini Tanzania ni masikini. Kama una watu wenye akili kama ya Mtebene ambaye haoni kabisa uhuni wote ambao CCM imefanya wa kubaka uchumi wa nchi yetu, basi ni bora tu kuongoza makondoo kuliko kuongoza binadamu. Binafsi namshangaa sana Mtanzania mwenye akili timamu ambaye bado anashabikia CCM hadi hivi sasa, asione ukweli kwamba thamani ya pesa yetu imezidi kushuka, mfumko wa bei unazidi kutisha, hali ya maisha ya mtanzania inazidi kudidimia huku hali ya mafisadi ikizidi kustawi. Kama kuna mtanzania haoni hilo na kwa dhati kabisa anasimama kuisifia CCM kama Mtebene anavyofanya basi yumkini ni taahira au kichwani kwake hakupo sawasawa. Nchi yetu sasa hivi inahitaji mageuzi na si longolongo za CCM.

Quote





+1 #4 LENGAI 2010-08-23 09:30

Kicheko unachokicheka leo ndugu Mtebene kitakuwa kilio chako baada ya uchaguzi.

Labda kama unakaa ikulu ndio utapata salama baada ya uchaguzi.Lita moja ya petroli itakuwa 3,000/=, Lita ya Diesel 2,800/=, Kilo ya Sukari 2,500/= wakati unalipwa mshahara 200,000/=. Hapo ndio nitajua unajua kucheka.Endekezeni tu kukaa na viongozi wa kubeba mabakuli ya kwenda kuomba kila mwaka ulaya na marekani cha moto tutakipata.Nchi naina hata Ndege moja ya kwenda hata hapo Dodoma wewe unachekelea,Vyu ma ya reli vimekatwa vinauzwa madukani wewe unachekelea,Mat ibabu ya foleni tena kwa kulipia wewe unachekelea.Subiri uchaguzi upite utapata jibu la msiba uliouomba.

Quote





+1 #3 CAROLINE 2010-08-23 09:17

Mimi nadhani Watanzania tuna mapungufu fulani.Bibi kama huyu anayecheza kwenye picha muulizeni mara ya mwisho alikunywa lini chai ya maziwa na mkate hata hakumbuki.Kilo moja ya sukari ni shs.2000/= sidhani anaweza kununua.Sukari anaipata siku za kampeni na kupiga kura tu.Rais akisha ingia ikulu wala hana habari naye.Mtalala barabarani mkidai haki zenu hadi mauti iwakute.

Quote





0 #2 Montto 2010-08-23 09:16

Hahaha nilijua wengi wao ni matapeli wa siasa sasa kama mtu hujui hata mtaa unaoishi unataka umtawale nani?upinzani wa kweli utatokana na ccm yenyewe pale ambapo nusu itakapomeguka na kwenda upande wa pili huku nusu ikibaki upande mmoja,mimi huwa nashangaa sana ukishindwa kura za maoni ccm inakuwa mbaya lakini ukishinda unakisifia Pole sana baba SHIBUDA

Quote

No comments:

Post a Comment