Thursday, October 21, 2010

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza na vitongoji vyake, katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Magomeni.


Tuesday, October 19, 2010

DR W P SLAA KATIKA KAMPENI SINGIDA





Dkt. Slaa akiwa Nzega







Monday, October 18, 2010

Dr Slaa Akihutubia Shinyanga Mjini





Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, aakiwahutubia maelefu ya wakazi wa mji wa Shinyanga na vitongoji vyake, katika mkutano wake wa kampeni jana. (Picha zote na Joseph Senga)






DR W P SLAA ALIVYOITEKA SHINYANGA



Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Shinyanga na vitongoji vyake, katika mkutano wake wa kampeni

Sunday, October 17, 2010

mwananchi fanya uamuzi sahihi-AMUA!!

Ewe mwananchi fanya uamuzi sahihi-AMUA!!

Ewe mwananchi, makala zimeandikwa, katuni zimechorwa, picha zimepigwa, nyimbo zimeimbwa, hotuba zimetolewa. Hakika ni wakati wako sasa kufanya uamuzi sahihi.

"Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 ni baina ya UADILIFU na UFISADI, baina ya UMAKINI na USANII, baina ya HAKI na DHULUMA, baina ya Dr.Slaa na Kikwete, na kwa Uraisi Chagua Slaa kwa Chama chagua CHADEMA!!"

Friday, October 15, 2010

PICHA YA SIKU NI HII

WANANCHI WAKICHANGIA CHADEMA NA DR SLAA

Click image for larger version    Name: IMGP0139.jpg  Views: 109  Size: 209.2 KB  ID: 15334

Click image for larger version    Name: IMGP0137.jpg  Views: 108  Size: 188.5 KB  ID: 15335

Hii ni changia Chadema ishinde na usafiri wa Dr Slaa angani.

HATA NA WATOTO WADOGO NAO WALIKWEPO

Click image for larger version    Name: IMGP0085.jpg  Views: 123  Size: 225.8 KB  ID: 15324

Na huyu baby anafurahia uwepo wa Dr Slaa uwanjani kwa kuangalia picha yake.

KAMPENI ZA DR SLAA 2010

Click image for larger version    Name: PICT0508.jpg  Views: 120  Size: 243.0 KB  ID: 15330

Click image for larger version    Name: IMGP0134.jpg  Views: 117  Size: 226.4 KB  ID: 15331

Mambo ya mabango hayo. Message sent.
Click image for larger version    Name: PICT0495.jpg  Views: 119  Size: 243.7 KB  ID: 15332


Click image for larger version    Name: PICT0527.jpg  Views: 120  Size: 280.2 KB  ID: 15333

WANANCHI WALIOJITOKEZA KUMSIKILIZA DR SLAA

jinsi mambo yalivyokuwa uwanjani.
Click image for larger version    Name: IMGP0059.jpg  Views: 129  Size: 265.0 KB  ID: 15313


Click image for larger version    Name: IMGP0058.jpg  Views: 131  Size: 248.2 KB  ID: 15314


Click image for larger version    Name: IMGP0060.jpg  Views: 130  Size: 250.7 KB  ID: 15315

Picha hizo zinaonyesha watu walivyokuwa kushoto katikati na kulia wote wakiwa tayari kumsikiliza Dr Slaa.

MGOMBEA WA CHADEMA DR WP SLAA AKIWA BUKOBA

Click image for larger version    Name: PICT0468.jpg  Views: 159  Size: 115.8 KB  ID: 15306

Helicopter iliyombeba Mheshimiwa Dr Ikiwa katika anga la Ijuganyundo wakati ikitokea Kaisho Karagwe ikivinjali angani
Click image for larger version    Name: PICT0469.jpg  Views: 154  Size: 217.5 KB  ID: 15307

Usafiri uliombeba mh rais mteule ajaye ikijitayarisha kutua katika eneo la ijuganyundo manispaa ya Bukoba
Click image for larger version    Name: PICT0470.jpg  Views: 154  Size: 252.0 KB  ID: 15308

Watu waliofika kumpokea Dr Slaa wakati aliposhuka kutoka katika helicopter yake eneo la Ijuganyundo
Click image for larger version    Name: PICT0481.jpg  Views: 151  Size: 202.0 KB  ID: 15309

Dr Slaa akimnadi mgombea udiwani wa Chadema kata ya ijuganyundo Bw.Gerasius Muhimba.

CHAGUA W Lwakatare CHAGUA CHADEMA BUKOBA

MGOMBEA WA CHADEMA DR WP SLAA AKIWA BUKOBA





Thursday, October 14, 2010

Mgombea Urais wa CHADEMA-Dr.Willibrod Peter Slaa Jimbo la Kigoma Kaskazini

Ziara ya Mgombea Urais wa CHADEMA-Dr.Willibrod Peter Slaa Jimbo la Kigoma Kaskazini
Katika Kata Kumi za Jimbo la Kigoma Kaskazini
Tarehe:10-10-2010





Tuesday, October 12, 2010

DR WP SLAA ALIPOKUWA SUMBAWANGA

Mgombea urais wa Tanazaia kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Mpanda, katika mkutanoa wake wa kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akishukla kutoka kwatika jukwaa, mara baada ya kuhutubia mkutanow a hadhara wa kampeni zake, katikam mji wa Namanyere katyika jimbo la Nkasi Kaskazini
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demnokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, na mgombea ubunge wa jimbo la Mpanda Mjini kupitia Chama hicho, Said Alfi, wakipunga mikono mara baada ya kwausili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili

Baadhi wa wananchi wa Mpanda, wakimsikiliza kwa makini mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maemdeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili(Matukio yote haya na mpigapicha mkuu wa gazeti Pendwa nchini la Tanzania Daima Bw Joseph Senga

No comments:

Post a Comment