Hivi ndivyo hali ilivyokuwa mjini Arusha jana. Viongozi wa juu wa Chadema wamekamatwa wengine wamejeruhiwa vibaya, akiwemo mchumba wa Dk. Slaa, Bi Josephine (pichani juu). Picha za chini zinajieleza zenyewe jinsi gani mji wa Arusha jana uligeuka na kuwa Ukanda wa Gaza wa Palestina.
No comments:
Post a Comment