Monday, September 27, 2010

0 #40 joseph M 2010-09-27 14:18
Kila mtanzania atambue hatima ya maisha ya kila mtu yapo mikononi mwetu ili kumchagua kiongozi atakayetukwamua hapa tulipo maana tumekuwa kwenye majaribio miaka 15 tangu vyama vingi vianze na mingine 22 ya CCM tangu 1977. Jamani Tanzania bila CCM inawezekana maana nchi hii ni wananchi wote.

joseph m
Quote
 
 
0 #39 Power 2010-09-27 14:13
Wasomaji na wachangiaji wa safu hii acheni uchochezi na [NENO BAYA][NENO BAYA]. Kama huwezi kuandika vitu ambavyo ni muhimu na vya kujenga (important and constructive)us iandike hapa. Kakobe hajataja mtu yeyote ila mwandishi ambaye anaripoti mafundisho ya Kakobe ndo kasema maelezo ya Kakobe yanamlenga Dr Slaa kutokana na maudhui ya mafundisho. Namnukuu mwandishi "Pamoja na kutotaja jina, mahubiri ya kiongozi huyo shupavu wa kidini yalionekana kumgusa mgombea urais wa Muungano kwa tiketi ya Chadema, Dk Willibrod Slaa ambaye amekumbwa na tuhuma za masuala ya maisha yake ambazo zimefika mahakamani ambako anadaiwa fidia kwa madai ya kumtangaza mke wa mtu kuwa mchumba wake".

Hapa naona watu wana-comment kwa kutumia UDINI. Acheni uchochezi nyie mnaohusika. Kakobe hajaandika kama Mchungaji kasema kama Mtanzania na ana kila sababu ya kusema chochote na kusikilizwa kama mtanzania na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tz inamruhusu kufanya hivyo. Huyo anayejiita Kawaya na Musa Kondo angalieni kauli zenu. Acheni fitina na uzushi mtaipeleka nchi pabaya.
Quote
 
 
0 #38 joseph M 2010-09-27 14:13
Nampongeza Kakobe wa kuonyesha njia kwa watanzania. Watu waamke na kukubali kuwa kuna wakati itafikia kuwa kuwe na mabadiliko ili inchi iweze kwenda. Watanzania kama ni majaribio CCM imekuwa kwenye majaribio hayo tangu 1977 na angalia tulipo sasa kwa maoni yangu naona tumerudi nyuma kiasi kubwa sana.Tukubali ukweli kuwa kwa utawala ulioko na hasa sehemu hii ya 2 ya awamu hii ya nne tutashuhudia mengi.Uzoefu umeonysha kuwa viongozi wa awamu ya pili na yatatu walifanya vizuri sana kipindi cha kwanza!
Quote
 
 
-2 #37 mpayukaji msemahovyo 2010-09-27 14:01
Kakobe mara nyingi ni opportunist. Maana kama ni suala la ndoa hata mgombea wa CCM si salama.
Aseme moja kwa moja anamuunga mkono nani ingawa hili nalo halina nguvu kutokana na kutokuwa na waumini wa kutosha.
Kakobe anaona kama mambo yanachukua sura nyingine hivo anavaa sura nyingine ili hapo baadaye ale. Matapeli wengine bwana. Huyu si ndiye alikuwa akimsifu Kikwete kuwa ni muungwana na mpole hivyo awe mpole. Alipotapeliwa na Kikwete kwenye mgogoro wake ndiyo ameona ubaya wa CCM chama chake kama fisadi wa kiroho?
Quote
 
 
+2 #36 mohamed 2010-09-27 13:51
Askofu umesema kweli kabisa,na ninakupa hongera sana kwa kuwasisitiza waumini wa kikristo kujitokeza,mana wengi kama ulivyosema,siku ya kupiga kura wao hushinda makanisani eti wakiomba mungu awapekiongozi bora,kupiga kura hawaendi,sasa kiongozi bora atatoka wapi kama sio hao waumini kumchagua?? hapo nashukuru saaaaaaana kakobe umeliona hilo hadi umeamua kuahirisha ibada zooote za tarehe 31 october,ninaomb a na makanisa mengine na misikiti mingine kuonyesha mwamko wa namnahiyo,kuith amini kura yako na hivyo kwenda kupiga kura,ama mapema kabisa tarehe 31 upige kura yako,Mungu amekupa haki na mamlaka ya kumuweka madarakani kiongozi umtakaye wewe,sio wanayemtaka wenzako.
Quote
 
 
+1 #35 makunda 2010-09-27 13:43
Askofu umesema kweli kabisa,na ninakupa hongera sana kwa kuwasisitiza waumini wa kikristo kujitokeza,mana wengi kama ulivyosema,siku ya kupiga kura wao hushinda makanisani eti wakiomba mungu awapekiongozi bora,kupiga kura hawaendi,sasa kiongozi bora atatoka wapi kama sio hao waumini kumchagua?? hapo nashukuru saaaaaaana kakobe umeliona hilo hadi umeamua kuahirisha ibada zooote za tarehe 31 october,ninaomb a na makanisa mengine na misikiti mingine kuonyesha mwamko wa namnahiyo,kuith amini kura yako na hivyo kwenda kupiga kura,ama mapema kabisa tarehe 31 upige kura yako,Mungu amekupa haki na mamlaka ya kumuweka madarakani kiongozi umtakaye wewe,sio wanayemtaka wenzako.
Quote
 
 
-2 #34 nyamsha 2010-09-27 13:32
kakobe na madhehebu mengine acheni kuwachagulia(wa umini) viongozi kwa kufuata imani na itikadi walizonazo sasa hapo unapiga kampeni au unatoa elimu ya uraia?acha kumkampenia SLAA waelezee waumini umuhimu wa kupiga kura na si kuligawa taifa kwa misingi ya udini!!!
Quote
 
 
0 #33 MUSHOBOZI 2010-09-27 13:28
Ongera askofu Kakobe,viongozi wengine mko wapi?Viongozi wa dini zote mnao ubili namna ya kwenda mbinguni.Je hamjui hata hapa duniani maisha safi yanatakiwa?eleza watu namna yakuyapata kutoka serikarini sio watu wanaishi ktk dhiki mnawambia mungu ndoo kapenda,wambie watafte viongozi wawajibikaji kupitia uchaguzi,sio mabepari,tunait aji uduma muhimu za jamii bule siyo mashangingi,mun gu mbariki KAKOBE kwaupendo wa dhati juu ya watanzania.
Quote
 
 
+1 #32 erick 2010-09-27 13:22
Hii ni elimu kila mtanzania, Hongera Baba Kakobe kwa kuelimisha watu juu ya umuhimu wa kupiga kura na kuwaeleza watanzania kuwa hatumchagua malaika wa kutupeleka mbinguni. Tunahitaji mabadiliko ya kweli katika nchi. we are Tired of this danganya toto. Naombe serikali iruhusu wanafunzi wa vyuo kupiga kura kule waliko maana ni haki yao kupiga kura kikatiba, lakini vyuo vimefungwa na wengi wamejiandikisha vyuoni au wakila shuleni, serikali iangalie uwezekano wa kuruhusu wanafunzi kupiga kura kule waliko japo hata kura ya raisi. Thanks
Quote
 
 
+2 #31 Ray 2010-09-27 12:52
Quoting sumbuku:
Ni kweli tusimchague mtu kutokana na matendo yake lakini je huyu mtu anatembea na wake za watu hivyo hana madaraka ya kisheria je tukimpa ikulu na urais si atatembea na wake za watu kinguvu kwa vile ana dola mie Dr slaa akiingia ikulu mke wangu namuachisha kazi ikulu maana ni muajiriwa wa pale nitamwambia mama acha kazi maaana sina imani na raisi mla vya watu


Yule mwanamke kaachana na mme wake kwa matatizo yao binafsi, unless una wasiwasi kuwa mke wako ni kicheche.
Quote
 
 
-1 #30 Musa kondo 2010-09-27 12:50
Acha udini ww kakobeeee.
Quote
 
 
0 #29 kawaya 2010-09-27 12:46
Haya sasa Viongozi wa kikristo wanaendelea kuwaongoza wafuasi wao ninani wa kumpigia kura namimi nawapongeza kwa hilo,JE Waislam mmesha waongoza Waumini wenu ninani wampigie kura???au bado mmelala?
Quote
 
 
+1 #28 uzumbukuku 2010-09-27 12:45
Hivi ndugu Kedali na Sumbuku kaeni mkijua mtu ana uwezo wa kubadili chama pindaonapo hakifai. Siasa za ukweli si kama ushabiki wa mpira kwamba hata mkifungwa utaendelea kuishabikia timu! Chama kikivurunda una haki kukuhama! Na kuhusu mkeo kumwachisha ikulu Dr Slaa akishika urais, naomba kabisa uachane na mfumo dume wa kumwamulia mkeo, eti tu ukimwambia aache kazi akutii tu eti kwa sababu we ni mmewe! Huo ni ukiukwajji wa haki za binadamu! Jamani tukue kimawazo na kuendelea, hayo mambo ya kinyanyasaji ndo yanatufanya turudi nyuma kila kukicha Watanzania. Hivi ungekuwa umeajiriwa we ikulu akaja rais mwanamke mpenda wanaume, mkeo angekwambia uache kazi ungeacha?
Quote
 
 
+2 #27 Raymond 2010-09-27 12:39
kakobe kaongea ukweli 2nahitaji watu kama hawa ili 2weze kuikomboa nchi,tumechoka na utawala wa kibethui.
Quote
 
 
+1 #26 Blacy 2010-09-27 12:15
Hongera askofu Kakobe kwa kuwa muwazi na kuepuka unafiki.Tunategemea sana vipongozi wa dini pia muwe chachu ya maegeuzi maana Watanzia ni walewale ndani na nje ya kanisa...

God bless you.
Quote

No comments:

Post a Comment