Tuesday, October 19, 2010
Monday, October 18, 2010
DR W P SLAA ALIVYOITEKA SHINYANGA
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Shinyanga na vitongoji vyake, katika mkutano wake wa kampeni
Sunday, October 17, 2010
mwananchi fanya uamuzi sahihi-AMUA!!
Ewe mwananchi fanya uamuzi sahihi-AMUA!!
"Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 ni baina ya UADILIFU na UFISADI, baina ya UMAKINI na USANII, baina ya HAKI na DHULUMA, baina ya Dr.Slaa na Kikwete, na kwa Uraisi Chagua Slaa kwa Chama chagua CHADEMA!!"
Saturday, October 16, 2010
Friday, October 15, 2010
WANANCHI WAKICHANGIA CHADEMA NA DR SLAA
Hii ni changia Chadema ishinde na usafiri wa Dr Slaa angani.
HATA NA WATOTO WADOGO NAO WALIKWEPO
Na huyu baby anafurahia uwepo wa Dr Slaa uwanjani kwa kuangalia picha yake.
WANANCHI WALIOJITOKEZA KUMSIKILIZA DR SLAA
jinsi mambo yalivyokuwa uwanjani.


Picha hizo zinaonyesha watu walivyokuwa kushoto katikati na kulia wote wakiwa tayari kumsikiliza Dr Slaa.
Picha hizo zinaonyesha watu walivyokuwa kushoto katikati na kulia wote wakiwa tayari kumsikiliza Dr Slaa.
MGOMBEA WA CHADEMA DR WP SLAA AKIWA BUKOBA
Helicopter iliyombeba Mheshimiwa Dr Ikiwa katika anga la Ijuganyundo wakati ikitokea Kaisho Karagwe ikivinjali angani
Usafiri uliombeba mh rais mteule ajaye ikijitayarisha kutua katika eneo la ijuganyundo manispaa ya Bukoba
Watu waliofika kumpokea Dr Slaa wakati aliposhuka kutoka katika helicopter yake eneo la Ijuganyundo
Dr Slaa akimnadi mgombea udiwani wa Chadema kata ya ijuganyundo Bw.Gerasius Muhimba.
Thursday, October 14, 2010
Tuesday, October 12, 2010
DR WP SLAA ALIPOKUWA SUMBAWANGA
Baadhi wa wananchi wa Mpanda, wakimsikiliza kwa makini mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maemdeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili(Matukio yote haya na mpigapicha mkuu wa gazeti Pendwa nchini la Tanzania Daima Bw Joseph Senga
No comments:
Post a Comment