Tuesday, August 10, 2010

SHULE ZA KATA NI AIBU KWA TAIFA

Hali ya shule ambazo CCM inajisifia zimeelezwa na mmoja wa viongozi serikalini kuwa "…si lolote. Ni magenge ya kukusanyia watoto wa masikini. Kule hakuna vitabu, hakuna walimu… pamekuwa kama madanguro ya kutilia mimba watoto."

No comments:

Post a Comment