Majimbo kumi tayari kwa ccm
Ukerewe seat MP, Gertrude Mongela. Bahi constituency in Dodoma Region, a CCM candidate, Badwel Omar, Singida Urban Davi Bulala. na mengine mengi..
Muimi naulizaa Hawa Wapinzani wapo serious na wanachokifanya,, Kwa mfanio Chadema Wanafikiria nini kwa kuto msimamisha mgombea uraisi Zanzibar,, hawa hawafikirii kuwa wanajipunguzia max za kuchaguliwa katika uchaguzi mkuu huu?
Kwasababu kwa mtindo huo, sisi wananchi tunabaki kugundua udhaifu wa chama chao, kuwa kama huna wagombea katika kipande kingine cha nchi yetu maana yake hauna msaada kwetu kwisha habali,, kama unataka kutoa Msaada Simamisha wagombea sehemu zote ili hata ukishindwa basi tunaangalia idadi ya seets bungeni,, kama vingi vyako ukisema umeibiwa kura watu tuaamini na si kuwa na viti sita then unasema nimeibiwa kura atakae amini hivi ni mpuuzi na mjinga,,,
Tuwe serious na tunacho kifanya Majimbo mengi sana Chadema hawajasimamisha Wagombea nna wanatangaza RAISI atatokea kwenye majimbo sita muliyo simamisha wagombea,,,
kuweni serious mimi mumenivunja moyo kabisaaaaaaaaaa
No comments:
Post a Comment