Monday, August 16, 2010

Kufungiwa kwa mwanahalisi vs malaria sugu


MWANAHALISI VS MALARIA SUGU





Ms katoka kifungo , kifungo cha jf cha siku 1, hakupata kuripoti, hakuchangia na kazuiliwa kabisa ktk mjadala ndani ya jf, Kisa kafungiwa na wakuu wa kaya ya JF, Kisa kawekwa rumande na wanakaya wa jf(mod)

Mjadala mpya naanzisha kuhusu kifungo cha ms

-Nakumbuka serekali iliifungia gazeti la mwanahalisi 3 month, sababu kubwa ni kwamba ilikuka maadili ya uandishi kama waziri wa habari alivyoeleza, wanajf walikuwa mbogo, waliandika na kuandika kuietea mwanahalisi, waliandika na kushawishi kwamba mwanahalisi limeonewa, Mwanakijiji, Acid, jellie 92, mh dk slaa na wengine humu walikuwa mbogo , walileta andishi ya upinga sheria iliyofungia gazeti hilo, walimlaumu waziri wa habari na michezo kwa kitendo hicho cha kulifungia , waliitaka sheria hiyo ibadilishwe na ifutwe kabisa, kwa sababu inanyima uhuru wa habari.walisema sheria hiyo kandamizi tena ya ukoloni, Walisema kufungiwa gazeti hilo ni kutokana na mkono wa ccm.waliilaumu ccm na kusema imehusika, walisema kama wao wapiganaji wa haki wa uhuru wa habari hawatakua tayari kusalimi amri, hiyo ndio kauli ya wanajf wengi ambao wapo mbelele kutetea uhuru wa habari. lk jibu la waziri lilikuwa wazi kwamba gazeti limeenda kinyume na uandishi wa habari, limekiuka maadili ndio likafungiwa



MS na yeye kafungiwa, tofauti kidogo na mwanahalisi, mwanahalisi limefungiwa kutokana na sheria za nchi ambazo zimeunda na gov, ms kafungiwa na mod , japo hailingani lkn kwa mtazamo wa kawaida naweza kuulinganisha kafungiwa na wale wale wale wanatetea uhuru wa habari waliokuwa wanautetea upande wa mwanahalisi. ni wale wale waliosimama kidete kusema uhuru wa habri ni lazima uwepo na watateta watakavyoweza na kusema wataipinga sheria shetani iliofungia gazeti la mwanahalisi.Sababu kubwa ya kufungiwa eti kakiuka maadili ya jamiifoums, eti anaambiwa watu wengi wanamlalamikia, eti kaambiwa mdini, katakiwa afungiwe 6 month na baadhi ya wanajf . Wale wale watetezi wa mwanahalisi, watetezi wa uhuru wa habari, wale wale wenye uchungu wa habari ziwafikie wanajamii ndio wamehusika kushawishi mod kumfungia ms, lkn ni wale wale washauri wa CHADEMAwalioitetea mwanahalisi ndio walioutumia ushawishi kumfungi MS

Kisa MS ni opposite na wengi jf, opposite na chadema na wengine wanasema mdini.

Swala la udini ni swala nyeti ms hataki kulingiza nishalitolea ufafanuzi. Swala la msingi kwa nini wanajf hawa waliotetea mwanahalisi kufungiwa washauri wa chadema wawe hao hao kushwishi baadhi ya wanjf hum ambao ni pposite na mawazo yao washawishi wafungiwe?

jee mwanakijiji m acid na wengine huu uhuru wa habari maana yake nini? jee ms anaposema hii ni njama ya wapinzani wa ms na ndio kafungiwa atasema kakosea? ataposema endapo Chadema itapata nchi(Mungu apushe) watashawishi viongozi wafungie gazeti kila lilokuwa opposite na wao?

natoa hoja

No comments:

Post a Comment